Wafugaji wauliwa Turkana

Wafugaji wawili wamejeruhiwa kwa kupigwa risasi kwenye Barabara Kuu ya Kainuk-Loyapat kwenye kaunti ya Turkana walipokuwa wakiwalisha mifugo wao.

Kulingana na shirika la msalaba mwekundu, majeruhi hao wanendelea kutibiwa katika hospitali ndogo ya Kianuk. Tayari polisi wameanzisha uchunguzi huku wakazi wakishauriwa kuwa watulivu.

For the latest news in entertainment check out Sde.co.ke and Pulser.co.ke , for everything sports visit Gameyetu.co.ke and ladies we have you covered on Evewoman