Polisi wa kitengo cha AP amuua mkewe Kakamega

Na Caren Omae,

NAIROBI, KENYA, Polisi wa kitengo cha AP eneo la Navakholo, Kaunti ya Kakamega amemuua mkewe kwa kumpiga risasi. Chifi wa eneo hilo Rashid Yakub amesema mshukiwa ametoroka huku wakifanikiwa kuipata bunduki aliyoitumia.

Marehemu alikuwa mwalimu wa shule ya upili ya Navakholo.

For the latest news in entertainment check out Sde.co.ke and Pulser.co.ke , for everything sports visit Gameyetu.co.ke and ladies we have you covered on Evewoman

Kakamega