Hisia mbali mbali zinaendelea kutolewa
kuhusiana na pendekezo la kuondolea mbali bumnge la seneti. Pendekezo
hilo lililotolewa na mbunge wa ndaragwa jeremiah kioni, limepingwa
vikali. Wabunge 10 wanaoegemea chama cha UDM, wamesema waasisi wa
pendekezo hilo ni maadui wakubwa wa suala la ugatuzi na kwamba wanapania
kujinufaisha kisiasa. Tume ya utetezi wa haki za kibinadamu khrc
mkurugenzi wake atsango chesoni, imesema amesema wazo la kioni halina
msingi wowote kwa kuwa serikali ya senate ndiyo inayoweza kuendeleza
ugatuzi na usamabazi wa hela na raslimali huko mashinani.
KNHRC, UDM on senate
By Standard Digital
| Dec. 16, 2011