huku viwanja mbalimbali vikipata sura mpya, sony hawataki kuachwa nyuma na uga wao umeanza kurekebishwa.timu hiyo sasa itagura hadi chemelil kwa michuano yake ya nyumbani had katikati ya mwaka.