Serikali yakanusha kumwandama Joho

Rosa Agutu

Msemaji wa serikali Eric Kiraithe amekana madai kuwa serikali ina mipango ya kumzuia Gavana wa Mombasa Hassan Joho kuwania tena kiti cha ugavana na kudidimiza nyota yake ya kisiasa.

Akiwahutubia wanahabari jijini Nairobi Kiraithe amesema serikali haina tatizo na gredi ya D- ya Joho bali ina tatizo na cheti ghushi alichomiliki pamoja na kampuni anayohusiana nayo inayodaiwa kukwepa ulipaji wa ushuru.

Kiraithe amesema uchunguzi dhidi ya kampuni hiyo ya Joho ulianza mwezi Januari mwaka jana na juhudi za kampuni hiyo kusitisha uchunguzi huo zimeambulia patupu.

SIMILAR STORIES
Raila adai Jeshi linatumiwa kuhusika udanganyifu katika uchaguzi
Raila adai Jeshi linatumiwa kuhusika udanganyifu katika uchaguzi
Raila adai Jeshi linatumiwa kuhusika udanganyifu katika uchaguzi
Kanisa lataka mwafaka kuhusu tenda
Kanisa lataka mwafaka kuhusu tenda
Kanisa lataka mwafaka kuhusu tenda
Nkaissery kuwachukulia hatua wanaowazomea viongozi
Nkaissery kuwachukulia hatua wanaowazomea viongozi
Nkaissery kuwachukulia hatua wanaowazomea viongozi

Comment Policy

comments powered by Disqus