Vipindi Vya Radio Maisha
-
Maji Makuu
Maisha ni ....mapenzi Mashambulizi ki-utu zima ... [Soma Zaidi]
-
Mizinga ya Jadi
Maisha ni...kukumbuka Wazee wakumbuke, vijana wafunzwe. ... [Soma Zaidi]
-
Nuru Ya Lugha
Tujifunze kiswahili. TukitunzeKiswahili .... [Soma Zaidi]
-
Reggae Splash
Saa tatu mfululizo ya mziki wa Reggae, ikiwemo, Roots, Culture na Riddim kutoka kwa wasanii wa humu nchini na wa kimataifa. Ras Moha na Tongola Mate watakuburudisha kwa semi zao ikiwemo historia za wanamziki maarufu wa reggae. Boombaclat! ... [Soma Zaidi]
-
Rumba Attencion
Maisha ni..burudani mmmm..kwa rumba iliyofika room temperature na umbea wa wasanii wa kutoka Congo, umefika! ... [Soma Zaidi]
-
Safari
Jijenge kiroho na muziki wa gospel katika safari ya maisha... [Soma Zaidi]
-
Staarabika
Maisha ni....Ustaarabu. Fahamu urembo wa maisha ndani ya Staarabika. Staarabika kikazi, jikoni, kimapenzi hadi kibiashara! ... [Soma Zaidi]
-
Tukuza
Maisha ni....Sifa Hapa utapata burudani tosha na iliyokomaa, utakutana na watu walio na ushuhuda wa kukushangaza, kukujenga na kukupatia tena tumaini maishani. Hii ni fursa ya kipekee ya kukutana na wasanii wengine wote wa Gospel . ... [Soma Zaidi]
