Vipindi Vya Radio Maisha
-
Danadana Viwanjani- Kipindi cha spoti
Maisha ni.....spoti! Kurunzi ya spoti ik ichanganyika na muziki uliovuma ... [Soma Zaidi]
-
Garagaza
Kila siku ya jumatatu hadi ijumaa kuanzia 6:30 asubuhi na 7:30 ndani ya Maisha Asubuhi, Saa 11:30 ndani ya Staarabika, 13:00 kwenye Upeo wa Radio Maisha, 3:30 kwenye Iz Vipi?, 5:30 kwenye Mishe Mishe na 7:00 jioni ndani ya Upeo wa Radio Maisha tunakupa matukio ya kila aina michezoni.... [Soma Zaidi]
-
Habari
Maisha ni Habari Tunakupa habari kila baada ya saa.... [Soma Zaidi]
-
Hakuna Kulala
Radio Maisha yakuletea burudani bomba mpaka che. Muziki wa kufurahisha usiku mzima.... [Soma Zaidi]
-
Iz Vipi?
Maisha ni....iz vipi Tunalea na Kukuza Vipaji ,tunaangusha Mizigo Mzito kali toka East Africa, Maunjanja,Taarifa za Burudani & FINGAWORKS Dj LIVE MIX. Yote haya ndani ya MPANGO MZIMA IZ VIPI ! Hatuigi Hatuibi ... [Soma Zaidi]
-
Kata Rumba
Maisha ni.....Rhumba System ya kreti chini ya meza ukisikiliza muziki uliokwenda shule ... [Soma Zaidi]
-
Maisha Asubuhi
Maisha ni...Asubuhi MAISHA ASUBUHI!!! Kikosi balaa kabisa! Mchanganyiko wa kicheko,siasa , masuala na muziki wa afrika wa kisasa! ... [Soma Zaidi]
-
Maisha Countdown
Maisha ni ....kudunda Marequest, kugoteana ,ku-countdownna kusample muziki bomba! ... [Soma Zaidi]
-
Maisha Jioni
Maisha ni...kuwajibika Tiba unayohitaji baada ya siku ndefu! Maisha drive ni story tupu na vichekesho! ... [Soma Zaidi]
