Mseto wa siasa.
(597 views)
Baadhi ya wanachama wa chama cha Alliance Party of Kenya wamepinga vikali hatua ya msimamizi wake waziri wa kawi Kiraitu Murungi kwa kumteua naibu waziri mkuu Uhuru Kenyatta kuwa mgombeaji rasmi wa chama cha BUS . Wanachama hao wanateta kuwa Kiraitu hakuzungumza na wanachama kabla ya kuamua kuwa uhuru kenyatta wa chama cha tna ndiye atakayepeperusha bendera ya chama hicho .
-
Uhuru Answers on Salaries
-
TARDA employees protest reinstatement of former MD
-
IDPs to be resettled
-
NSE to list companies on its GEMS
-
NBK to raise 10m in a cash call
-
Cabinet security docket yet to be filled
-
Coffee farmers urged to improve their crop
-
English Point Marina 30% done
-
Watu watatu wauawa katika mashambulizi Mandera
-
Wakulima wa kahawa kuboresha zao
