Prof Micheni ajipata pabaya
June 19, 2013 - Maafisa watano wa chuo kikuu cha PCEA wamefika mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu Ugatuzi jijini Nairobi, kuelezea hisia zao kumhusu Prof Micheni Nthiba aliyeteuliwa kuwa Katibu katika Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi. Wanasema kuwa Micheni hafai kutokana na uongozi mbaya alioudhihirisha chuoni humo. Wanamlaumu kwa kuwafurusha wahadhiri, wafanyakazi na wanafunzi kadhaa chuoni humo. Wameielezea ka... [Soma Zaidi]0 Responses









