Kipindi Cha Sasa 13:30 - 15:59 (Saa Za Afrika Mashariki)

Iz Vipi? na Peter Adamz A.K.A. P.A

Wimbo wa Sasa:

Show Inayofuata: Maisha Jioni 16:00 - 18:40 (Saa Za Afrika Mashariki)

PODCASTS
Soma Habari Nyingine

Matukio Nchini

Ripoti ya TJRC Yawataja UhuRuto

May 22, 2013 - Viongozi wakuu serikalini pamoja na wanasiasa ni miongoni mwa watu zaidi ya 400 waliotajwa na kupendekezwa kuchukuliwa hatua za kisheria, kwenye ripoti ya Tume ya Haki Ukweli na Maridhiano, TJRC. Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto ni miongoni mwa waliotajwa pakubwa kwenye ghasia za mwaka 2007. Hata hivyo, TJRC haijapendekeza hatua zozote kuchukuliwa dhidi yao. Wengine waliotajwa kwe... [Soma Zaidi]0 Responses