Darubini 2
Kwa nini Ikayumba?
Mgomo wa walimu uliochukua majuma matatu umeonyesha mkinzano mkubwa- mkinzano uliodhihirishwa na viongozi wa serikali waliotarajiwa kuzungumza kwa sauti moja. Je, hali hii ilisababishwa na nini? Geoffrey Mung’ou amezungumza na wajuzi na kuandaa taarifa ifuatayo.
Posted on September 24, 2012 na Geoffrey Mung'ou
