Darubini 2.
Kanuni Mpya
Huenda ni kutokana na hali hiyo ndipo Serikali imeamua kufufua kanuni zinazoongoza huduma za matibabu nchini ambazo zinasema kuwa Wakenya wanaougua, watakuwa wakitibiwa hata kama hawana fedha za papo hapo. Beatrice Maganga anaangazia baadhi ya kanuni hizo.
Posted on August 7, 2012 na Beatrice Maganga
