PODCASTS

Habari

  •  

    Darubini 2.

    Rais na Mawaziri 10 Uingereza

    Huku suala hili likizua tumbojoto bungeni, Rais Mwai Kibaki na zaidi ya mawaziri 10 wamekuwa London Uingereza kuhudhiria kongamano la biashara mbali na ufunguzi wa michezo ya Olimpiki. Iwapo ziara hiyo ililenga kutangaza Kenya kuwa nchi inayofaa kwa utalii, je, kulikuwa na ulazima wowote wa msafara huo kujumuisha zaidi ya mawaziri kumi? Geoffrey Mung’ou anakupa mwanga kamili kulihusu suala hili.

      0 Responses

    Posted on August 2, 2012 na Geoffrey Mung'ou

Comments in chronological order (Total 0 comments)



1100 characters remaining