Darubini 1.
Gharama ya Ziara
Suala la idadi kubwa ya maafisa wa serikali wanaozuru mataifa ya nje na kiwango cha fedha kinachotumika kwenye ziara hizo limeanza kuibua hisia kali nchini. Wabunge wamekosoa hatua hiyo ya mawaziri kutumia fedha nyingi katika ziara hizo, wakidai ni utumizi mbaya wa fedha za umma. Kwenye Darubini ya Upeo, huu tunaangazia lalama za wabunge na uhalisia wa madai hayo. Carren Omae anafungua Darubini hiyo.
Posted on August 2, 2012 na Carren Omae
