PODCASTS

Habari

  •  

    Darubini 1.

    TJRC, Kukiri

    Kwa muda sasa Tume ya Ukweli Haki na Maridhiano imekimwa. Radio Maisha imebaini kwamba tume hiyo imeafikia mpango wa maridhiano ambapo itawatangaza waliodhulumu wenzao nchini Kenya na kutoa nafasi kwao kukiri makosa na kuomba msamaha. Hatua hii inazua hisia mseto na maswali si haba. Katika darubini ya upeo huu tunaangazia suala hilo. Victoria Amunga anafungua darubini hiyo.

      0 Responses

    Posted on July 19, 2012 na Victoria Amunga

Comments in chronological order (Total 0 comments)



1100 characters remaining