PODCASTS

Habari

  •  

    Darubini 1.

    Suluhu-Makamishna wa Kaunti

    Suala la uteuzi wa makamishna 47 wa kaunti linazidi kukumbwa na suitafahamu kila kukicha. Ni hapo jana tu ndipo tofauti zilizopo kati ya Wizara ya Usalama wa Taifa na afisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali zilidhihirika mahakamani. Ni suala ambalo limekuwa likichochea hisia kinzani tangu kuteuliwa na kuanza kuhudumu kwa makamishna hao. Je, utata huu utatatuliwa vipi? Geoffrey Mung’ou anafungua darubini kwa kuliangazia suala hili.

      0 Responses

    Posted on July 18, 2012 na Geoffrey Mung'ou

Comments in chronological order (Total 0 comments)



1100 characters remaining