PODCASTS

Habari

  • Misitu

    Watetea Misitu Nandia

    Kundi la wanamazingira katika Kaunti ya Nandi, limetishia kutafuta agizo la mahakama kuzuia Shirika la Misitu Nchini kuyakodishia mashirika ya binafsi misitu Kaskazini mwa Bonde la Ufa. Kundi hilo linalojiita Marafiki wa Mazingira ya Nandi likiongozwa na mkurugenzi wake John Chumo, limesema kuwa Shirika la KFS lilikosea kwa kuzipa kandarasi mashirika na kampuni mbalimbali kupitia tangazo kwenye mojawapo ya magazeti ya juma lililopita. Akizungumza afisini mwake katika eneo la Kapsabet, Chumo amesema kwa vile chama cha wanamisitu katika eneo hilo hakikuhusishwa, mpango huo wafaa kusitishwa mara moja.

    0 Responses

    Posted on July 15, 2012 na Geoffrey Mung'ou

Comments in chronological order (Total 0 comments)



1100 characters remaining