Darubini
Wang'ang'ania Mageuzi
Suala la kuwa mwanamageuzi au la linaonekana ndilo la kung’ang’aniwa sasa miongoni mwa wanasiasa.
Katika kitengo chetu cha darubini Alfrique Otieno anaangazia kampeni za viongozi waliotangaza azma ya kuwania urais ambapo vita vimetangazwa kati ya wanamageuzi na wanaodhaniwa kuwa wahafidhina.
Posted on July 9, 2012 na Alfrique Otieno
