Darubini
Waislamu Kuyalinda Makanisa
Juhudi kadhaa zimewekwa kuimarisha usalama nchini Kenya hasa kufuatia matukio ya mashambulizi. Maafisa wa polisi wamehamishwa, ujasusi kuimarishwa na doria kuongezeka. Pamoja na hayo kuna mpango wa kipekee uliotangzwa na Baraza Kuu la Waislamu nchini.
Bernard Oginga anaangazi mpango huo wa waislamu kuyalinda makanisa.
Posted on July 5, 2012 na Bernard Oginga
