Darubini
Kuua Maabadini
Kundi la Al Shabaab limekiri kuwa mashambulizi ya siku ya Jumapili dhidi ya makanisa mawili mjini Garisa yalitekelezwa na wafuasi wake.
Ingawa kundi hilo limefanya mashambulizi kadhaa tangu Oktoba mwaka jana, mkondo uliochukuliwa katika miezi michacvhe iliyopita ni wa kushangaza.
Bernard Oginga ameaandaa taarifa ifuatayo inayochanganua mkondo huo mpya wa Al Shabaab.
Posted on July 4, 2012 na Bernard Oginga
