Jamii
Muziki na jamii
Wanamuziki watatu nchini Kenya wamejipata hatiani kwa kile kinaonekana kuwa kutumia muziki visivyo. Je, muziki ni nini na athari zake ni zipi?
Mwanahabari wetu Bernard Oginga anasema kwamba Kila kukicha mwanadamu huvumbua kitu kipya, lakini moja ya uvumbuzi unaosemekana ni wa kitambo zaidi ni muziki.
Historia inaonyesha kuwa mwanadamu alianza kutumia muziki hata kabla ya kuvumbua moto.
Sikiliza zaidi.
Posted on June 30, 2012 na Bernard Oginga
