Baringo
Simba wala Mifugo
Siku chache tu baada ya visa vya simba kushambulia mifogo katika eneo la Turkana, kisa sawa na hicho kimeshuhudiwa katika eneo la Baringo ya Kati ambapo wakulima wanaendelea kukadiria hasara baada ya mifugo yao kushambuliwa na simba. Hata hivyo hatua zozote hazijachukuliwa kukabili hali hiyo.
Posted on June 27, 2012 na Sophia Chinyezi
