PODCASTS

Habari

  •  

    Darubini

    Mitindo ya Kuomboleza

    Tangu kifo cha binadamu wa kwanza-Abel kwa mujibu wa vitabu vitakatifu, binadamu hajapata kuzoea kifo. Kila mara mtu anapofiwa na jamaa au rafiki, majonzi huwa tele japo njia za kudhihirisha machungu yatokanayo na kufiwa huko hutofautiana kutoka jamii moja hadi nyingine. Geoffrey Mung’ou anafungua darubini yetu jioni ya leo kwa kuliangazia suala hili.

      0 Responses

    Posted on June 19, 2012 na Geoffrey Mung'ou

Comments in chronological order (Total 0 comments)



1100 characters remaining