Waliotajwa wapinga ripoti ya TJRC
May 23, 2013 - Baadhi ya waliotajwa kwenye ripoti ya Tume ya Ukweli, Haki na Maridhiano, TJRC wamepinga vikali kuhusishwa kivyovyote vile na dhulma dhidi ya haki za kibinadamu. Wabunge Joseph Nkaissery, Samuel Moroto, Omondi Anyanga na John Serut ni miongoni mwa wanasiasa waliopinga shutma dhidi yao. Kwa upande wake, Nkaissery ametishia kuishtaki TJRC kwa kumhusisha na mauaji ya halaiki yaliyotokea eneo la Po... [Soma Zaidi]0 Responses









