Kipindi Cha Sasa 04:00 - 05:59 (Saa Za Afrika Mashariki)

Safari na Antony Ndiema

Wimbo wa Sasa:

Show Inayofuata: Maisha Asubuhi 06:15 - 09:59 (Saa Za Afrika Mashariki)

PODCASTS
Soma Habari Nyingine

Matukio Nchini

Visa vya Uhalifu kukomshwa - Uhuru

May 17, 2013 - Rais Uhuru Kenyatta amewataka makamanda wa polisi kuwachukulia hatua za sheria wale wote watakaohusishwa na vitendo vya utovu wa usalama nchini. Katika mkutano ulioandaliwa katika ikulu ya Rais hapa Nairobi, Uhuru amesisitiza kwamba serikali yake yaitoruhusu utepetevu katika idara ya polisi. Ametoa agizo hilo wkaati kumekuwa na tetesi kwamba baadhi ya wanasiasa wanahusika pakubwa kwenye mashamb... [Soma Zaidi]0 Responses

  • Usalama

    Ruto ahimiza vikosi vya AMISOM viongezwe Somalia

    Naibu Rais William Ruto ametoa wito kwa Umoja wa Afrika AU uongeze vikosi vyake vinavyolinda usalama nchini Somalia, AMISOM. Ruto amesema ukosefu wa usalama nchini humo ume... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on May 17, 2013 na Ali Haji Kipapuro

  • Serikali

    Mawaziri wa Jubilee waanza kazi

    Waziri wa Ugatuzi na Mipango Anne Waiguru ameanza rasmi kutekeleza majukumu yake, siku moja baada ya kuapishwa. Kwenye hotuba fupi wakati akiingia afisini katika jumba la T... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on May 16, 2013 na A Haji Kipapuro

  • Uteuzi

    Ban Ki-Moon amteuwa Dr Kituyi

    Sasa ni rasmi kwamba aliyekuwa waziri nchini Kenya Dakt Mukhisa Kituyi atakuwa kiongozo wa shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara UNCTAD. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa B... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on May 16, 2013 na Haji Kipapuro

  • Usalama

    Uhuru na wakuu wa Usalama

    Rais Uhuru Kenyatta anakutana na wa wakuu wote wa polisi nchini, kujadili masuala ya usalama wa taifa ikiwemo mbinu za kuimarisha usalama. Mkutano huo katika ikulu ya rais ... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on May 16, 2013 na Mate Tongola