Watu wawili wauwa na wavamizi mjini Garissa
May 22, 2013 - Watu wawili wameuawa na watu waliojihami kwa bunduki mjini Garissa Jumatano jioni. Kisa hicho kimetokea katika eneo la Shifta Camp ambapo washukiwa waliotekeleza mauaji hayo kisha wametoroka. Kisa hiki kimejiri siku moja baada ya afisa mmoja wa polisi kunusika kifo baada ya kuvamiwa na watu waliokuwa wamejihami kwa bunduki. Matukio haya yanajiri baada ya operesheni ya maafisa wa usalama iliyodu... [Soma Zaidi]0 Responses









