Kipindi Cha Sasa 10:00 - 12:45 (Saa Za Afrika Mashariki)

Staarabika na Ann Njogu

Wimbo wa Sasa:

Show Inayofuata: Wanawake na Maendeleo (Women) 12:45 - 12:55 (Saa Za Afrika Mashariki)

PODCASTS
Soma Habari Nyingine

Matukio Nchini

Waliotajwa wapinga ripoti ya TJRC

May 23, 2013 - Baadhi ya waliotajwa kwenye ripoti ya Tume ya Ukweli, Haki na Maridhiano, TJRC wamepinga vikali kuhusishwa kivyovyote vile na dhulma dhidi ya haki za kibinadamu. Wabunge Joseph Nkaissery, Samuel Moroto, Omondi Anyanga na John Serut ni miongoni mwa wanasiasa waliopinga shutma dhidi yao. Kwa upande wake, Nkaissery ametishia kuishtaki TJRC kwa kumhusisha na mauaji ya halaiki yaliyotokea eneo la Po... [Soma Zaidi]0 Responses

  • Usalama

    Walinzi watatu wauawa Dadaab

    Walinzi watatu wa usiku wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana katika shambulizi lililotokea kwenye kituo cha kibiashara cha Ifo, kambi ya wakimbizi ya Dadaab. W... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on May 23, 2013 na Mate Tongola

  • Usalama

    Watu wawili wauwa na wavamizi mjini Garissa

    Watu wawili wameuawa na watu waliojihami kwa bunduki mjini Garissa Jumatano jioni. Kisa hicho kimetokea katika eneo la Shifta Camp ambapo washukiwa waliotekeleza mauaji hay... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on May 22, 2013 na Ali Haji Kipapuro

  • Bunge

    Ziara ya Ruto yajadaliwa bungeni

    Ziara ya Naibu Rais William Ruto katika baadhi ya mataifa barani Afrika imejadiliwa bungeni huku wabunge wa upinzani wakikisoa vikali kiwango cha pesa zilizotumiwa. Aidha k... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on May 22, 2013 na Beatrice Maganga

  • Ripoti ya Tana

    Uhuru Apokezwa Ripoti

    Rais Uhuru Kenyatta Jumatano katika Ikulu ya Nairobi amepokezwa ripoti ya uchunguzi wa ghasia za Tana River mwaka jana. Ripoti hiyo imewasilishwa na mwenyekiti wa tume ya u... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on May 22, 2013 na Geoffrey Mung'ou