Kipindi Cha Sasa 07:00 - 10:59 (Saa Za Afrika Mashariki)

Nuru Ya Lugha na Ali Hassan

Wimbo wa Sasa:

Show Inayofuata: Maisha Countdown 11:00 - 14:59 (Saa Za Afrika Mashariki)

PODCASTS
Soma Habari Nyingine

Matukio Nchini

Pendekezo la Kenya kujiondoa ICC lapingwa

May 24, 2013 - Marekani na mataifa ya bara Uropa yamepinga vikali pendekezo la Kenya kwa baraza la Umoja wa Mataifa la kutaka kuondolewa kwa kesi za wakenya watatu katika mahakama ya ICC. Mabalozi wa mataifa wanachama wa Umoja huo wamesema kuwa ni mahakama hayo tu yenye uwezo wa kuondoa kesi hizo. Pendekezo hilo lililowasilishwa na balozi wa Kenya nchini Marekani Macharia Kamau, linaungwa mkono na mataifa ya ... [Soma Zaidi]0 Responses