Kidero Awafuta 6 Kazi
May 21, 2013 - Gavana wa Nairobi Evans Kidero amewachisha kazi maafisa 6 wa baraza la jiji la Nairobi kwa madai ya kuitisha hongo.
Sita hao vilevile wanalaumiwa kwa kushambulia umma na hata kupiga kelele ovyo. Inaarifiwa kwamba mbali na masuala mengine ya uvunjaji sheria, 6 hao wamekuwa wakifika kazini wakiwa walevi. Kufikia sasa Kidero ameagiza maafisa 11 wa baraza hilo kuchunguzwa kuhusiana na visa vya u... [Soma Zaidi]0 Responses









