Ole Lenku amemtetea Kimaiyo
June 18, 2013 - Licha ya kuwepo manung'uniko miongoni mwa makamishna wa Tume ya Huduma za Polisi kuhusu hatua ya Inspekta Mkuu wa polisi David Kimaiyo kuwateua Makamanda wa Kaunti, Inspekta Mkuu na Mwenyekiti wa Tume hiyo Johnstone Kavuludi kwa mara nyingine tena wamesisitiza kwamba hakuna tofauti zozote kati yao. Katika mkutano na wanahabari, wawili hao wamesema kuwa wanashirikiana kikamilifu kufanikisha maba... [Soma Zaidi]0 Responses









