Kipindi Cha Sasa 19:00 - 19:15 (Saa Za Afrika Mashariki)

Habari na Habari

Wimbo wa Sasa:

Show Inayofuata: Rumba Attencion 19:15 - 22:00 (Saa Za Afrika Mashariki)

PODCASTS
Soma Habari Nyingine

Matukio Nchini

Prof Micheni ajipata pabaya

June 19, 2013 - Maafisa watano wa chuo kikuu cha PCEA wamefika mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu Ugatuzi jijini Nairobi, kuelezea hisia zao kumhusu Prof Micheni Nthiba aliyeteuliwa kuwa Katibu katika Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi. Wanasema kuwa Micheni hafai kutokana na uongozi mbaya alioudhihirisha chuoni humo. Wanamlaumu kwa kuwafurusha wahadhiri, wafanyakazi na wanafunzi kadhaa chuoni humo. Wameielezea ka... [Soma Zaidi]0 Responses

  • Usalama

    Kimaiyo, sasa ateuwa ma OCPD

    Inspekta Mkuu wa Polisi David Kimaiyo kwa mara nyingine amewateua wakuu wa polisi na kuwatuma katika maeneo mapya ya kazi bila kushauriana na Tume ya Huduma za Polisi. Kima... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on June 19, 2013 na Geoffrey Mung'ou

  • Usalama

    Ole Lenku amemtetea Kimaiyo

    Licha ya kuwepo manung'uniko miongoni mwa makamishna wa Tume ya Huduma za Polisi kuhusu hatua ya Inspekta Mkuu wa polisi David Kimaiyo kuwateua Makamanda wa Kaunti, Inspekt... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on June 18, 2013 na Mate Tongola

  • Umiliki wa Ardhi

    Polisi waziba Gereji ya Grogan, Nairobi

    Taharuki imetanda katika eneo la Grogan jijini Nairobi baada ya polisi kuziba eneo hilo ili kuwazuia zaidi ya wahudumu 900 wa Juakali. Hatua hii inafuatia amri iliyotolewa ... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on June 18, 2013 na Khadija Abubakar

  • Usalama

    Polisi Kubuni Chama Chao

    Ni afueni kwa maafisa wa polisi baada ya mahakama ya viwanda kuwaruhusu maafisa hao kubuni chama cha kutetea maslahi yao. Jaji wa mahakama hiyo Onesmus Makau amesema hakuna... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on June 17, 2013 na Mate Tongola