Visa vya Uhalifu kukomshwa - Uhuru
May 17, 2013 - Rais Uhuru Kenyatta amewataka makamanda wa polisi kuwachukulia hatua za sheria wale wote watakaohusishwa na vitendo vya utovu wa usalama nchini. Katika mkutano ulioandaliwa katika ikulu ya Rais hapa Nairobi, Uhuru amesisitiza kwamba serikali yake yaitoruhusu utepetevu katika idara ya polisi. Ametoa agizo hilo wkaati kumekuwa na tetesi kwamba baadhi ya wanasiasa wanahusika pakubwa kwenye mashamb... [Soma Zaidi]0 Responses









