Ole Lenku na Kazungu Kambi Wateuliwa
May 23, 2013 - Rais Uhuru Kenyatta amemteua Joseph Ole Lenku kuwa Waziri wa Masuala ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Taifa. Rais aidha amemtaja Samwel Kazungu Kambi kuwa Waziri wa Leba na Huduma za Jamii na Usalama. Wizara hizi mbili hazikuwa zimewapata washikilizi wake baada ya uteuzi wa mawaziri wengine 16. Uteuzi wa leo unafikisha 18 idadi ya mawaziri kuambatana na ahaidi ya serikali ya Jubilee. Rais am... [Soma Zaidi]0 Responses









