Kipindi Cha Sasa 13:30 - 15:59 (Saa Za Afrika Mashariki)

Iz Vipi? na Peter Adamz A.K.A. P.A

Wimbo wa Sasa:

Show Inayofuata: Habari 16:00 - 16:15 (Saa Za Afrika Mashariki)

PODCASTS
Soma Habari Nyingine

Matukio Nchini

Afisi ya Ruto yatetea ziara yake

May 21, 2013 - Afisi ya naibu rais William Ruto imetoa stakabadhi za kuthibitisha kuwa ndege aliyokodisha kuzuru mataifa manne ya bara Afrika iliigharimu serikali shilingi milioni 18.5 na wala si shilingi milioni 100 kama ilivyodaiwa. Risiti kutoka kampuni ya VistaJet zinaonyesha kuwa serikali ilikodisha ndege hiyo ya kifahari tarehe 16 na ilisafiri katika miji ya Brazzaville-Libreville-Abuja kabla ya kurejea... [Soma Zaidi]0 Responses