Kipindi Cha Sasa 22:00 - 23:59 (Saa Za Afrika Mashariki)

Maji Makuu na Babu Wakasiaka

Wimbo wa Sasa:

Show Inayofuata: Safari 04:00 - 05:59 (Saa Za Afrika Mashariki)

PODCASTS
Soma Habari Nyingine

Matukio Nchini

Kidero Awafuta 6 Kazi

May 21, 2013 - Gavana wa Nairobi Evans Kidero amewachisha kazi maafisa 6 wa baraza la jiji la Nairobi kwa madai ya kuitisha hongo.

Sita hao vilevile wanalaumiwa kwa kushambulia umma na hata kupiga kelele ovyo. Inaarifiwa kwamba mbali na masuala mengine ya uvunjaji sheria, 6 hao wamekuwa wakifika kazini wakiwa walevi. Kufikia sasa Kidero ameagiza maafisa 11 wa baraza hilo kuchunguzwa kuhusiana na visa vya u... [Soma Zaidi]0 Responses