Kipindi Cha Sasa 06:00 - 09:59 (Saa Za Afrika Mashariki)

Maisha Asubuhi na Alex Mwakideu na Jalas

Wimbo wa Sasa:

Show Inayofuata: Staarabika 10:00 - 12:45 (Saa Za Afrika Mashariki)

PODCASTS
Soma Habari Nyingine

Matukio Nchini

Migomo Zaidi Kushuhudiwa Nchini

June 20, 2013 - Uwezekano upo kuwa serikali haitatekeleza matakwa ya wafanyikazi wa umma wanaoshiriki migomo mbalimbali wakiwamo Walimu, Wauguzi na Wafanyakazi wa Baraza la Kaunti ya Nairobi hivi karibuni.

Waziri wa Leba Kazungu Kambi amesema Serikali haiwezi kugharamia matakwa ya maelfu ya wafanyikazi hao wa umma kwa wakati mmoja. Haya yanajiri wakati huduma muhimu katika hospitali kuu ya Kenyatta ... [Soma Zaidi]0 Responses

  • Uchujaji

    Prof Micheni ajipata pabaya

    Maafisa watano wa chuo kikuu cha PCEA wamefika mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu Ugatuzi jijini Nairobi, kuelezea hisia zao kumhusu Prof Micheni Nthiba aliyeteuliwa kuwa Kati... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on June 19, 2013 na Tabitha Rotich

  • Usalama

    Kimaiyo, sasa ateuwa ma OCPD

    Inspekta Mkuu wa Polisi David Kimaiyo kwa mara nyingine amewateua wakuu wa polisi na kuwatuma katika maeneo mapya ya kazi bila kushauriana na Tume ya Huduma za Polisi. Kima... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on June 19, 2013 na Geoffrey Mung'ou

  • Usalama

    Ole Lenku amemtetea Kimaiyo

    Licha ya kuwepo manung'uniko miongoni mwa makamishna wa Tume ya Huduma za Polisi kuhusu hatua ya Inspekta Mkuu wa polisi David Kimaiyo kuwateua Makamanda wa Kaunti, Inspekt... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on June 18, 2013 na Mate Tongola

  • Umiliki wa Ardhi

    Polisi waziba Gereji ya Grogan, Nairobi

    Taharuki imetanda katika eneo la Grogan jijini Nairobi baada ya polisi kuziba eneo hilo ili kuwazuia zaidi ya wahudumu 900 wa Juakali. Hatua hii inafuatia amri iliyotolewa ... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on June 18, 2013 na Khadija Abubakar