Kipindi Cha Sasa 21:55 - 23:59 (Saa Za Afrika Mashariki)

Maji Makuu na Babu Wakasiaka

Wimbo wa Sasa:

Show Inayofuata: Hakuna Kulala 00:00 - 03:59 (Saa Za Afrika Mashariki)

PODCASTS
Soma Habari Nyingine

Matukio Nchini

Ole Lenku na Kazungu Kambi Wateuliwa

May 23, 2013 - Rais Uhuru Kenyatta amemteua Joseph Ole Lenku kuwa Waziri wa Masuala ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Taifa. Rais aidha amemtaja Samwel Kazungu Kambi kuwa Waziri wa Leba na Huduma za Jamii na Usalama. Wizara hizi mbili hazikuwa zimewapata washikilizi wake baada ya uteuzi wa mawaziri wengine 16. Uteuzi wa leo unafikisha 18 idadi ya mawaziri kuambatana na ahaidi ya serikali ya Jubilee. Rais am... [Soma Zaidi]0 Responses

  • Ripoti ya TJRC

    Kiplagat Akosoa Ripoti Yake

    tume hiyo kwa kumhusisha na mauaji ya aliyekuwa Waziri wa Mashauri ya nchi za nje marehemu Robert Ouko na mauaji ya Wagalla eneo la Wajir pamoja na unyakuzi wa ardhi. Hata ... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on May 23, 2013 na Alfrigue Otieno

  • Uchunguzi

    Waliotajwa wapinga ripoti ya TJRC

    Baadhi ya waliotajwa kwenye ripoti ya Tume ya Ukweli, Haki na Maridhiano, TJRC wamepinga vikali kuhusishwa kivyovyote vile na dhulma dhidi ya haki za kibinadamu. Wabunge Jo... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on May 23, 2013 na Mate Tongola

  • Usalama

    Walinzi watatu wauawa Dadaab

    Walinzi watatu wa usiku wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana katika shambulizi lililotokea kwenye kituo cha kibiashara cha Ifo, kambi ya wakimbizi ya Dadaab. W... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on May 23, 2013 na Mate Tongola

  • Usalama

    Watu wawili wauwa na wavamizi mjini Garissa

    Watu wawili wameuawa na watu waliojihami kwa bunduki mjini Garissa Jumatano jioni. Kisa hicho kimetokea katika eneo la Shifta Camp ambapo washukiwa waliotekeleza mauaji hay... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on May 22, 2013 na Ali Haji Kipapuro