Kipindi Cha Sasa 06:00 - 14:59 (Saa Za Afrika Mashariki)

Tukuza na Anthony Ndiema, Dj Krobar

Wimbo wa Sasa:

Show Inayofuata: Reggae Splash 15:00 - 19:00 (Saa Za Afrika Mashariki)

PODCASTS
Soma Habari Nyingine

Matukio Nchini

Umoja wa Afrika Watoa Kauli

May 25, 2013 - Matatizo katika bara la Afrika yatatauliwa na mataifa ya Afrika na wala si mashirika au mataifa ya nje. Huo ndio msimamo wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Dlamini Zuma. Katika hotuba yake ya kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwa muungano wa mataifa ya Afrika, Bi. Zuma amesema kujitolea kwa mataifa ya Afrika kumaliza mapigano yaliyokuwa nchini Somalia baada ya kushindwa kwa mataifa ya maghari... [Soma Zaidi]0 Responses