KTN VIDEO: 9 universities to be established

Serikali imeahidi kufungua vyuo vikuu tisa zaidi kama njia moja wapo ya kuimarisha elimu nchini.akibainisha hayo wakati wa ufunguzi rasm wa maonyesho ya kimataifa ya taasisi za elimu jijini nairobi, waziri wa elimu ya juu, margaret kamar, hata hivyo amevisihi vyuo vikuu nchini kutoa mafunzo yaliyo sambamba na mahitaji ya taifa hili.
FOLLOW US