KTN Leo: Unyanyasaji tana river

Added on September 23, 2012
Share this video on:
Tangu kutumwa kwa maafisa wa polisi katika eneo la tana delta kwa lengo la kuimarisha usalama pamoja na kuwapokonya wenyeji silaha haramu zilizo mikononi mwao wenyeji hao wamelalamika kwa kusema kuwa maafisa wa polisi wamekuwa wakiwanyanyasa kwa kuwaadhibu pamoja na kutumia nguvu kupita kiasi. Mbunge wa eneo hilo Danson Mungatana amelitaka zoezi hilo la kutafuta silaha haramu kusitishwa huku akiwataka walinda usalama kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria
Last Modified: 23 Sep 2012 21:06
RSS Feeds

Programme Schedule: 20-05-2013 23:50 EAT

On Air:

UpNext »»

23:59Late Night News

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus