Ushawahi kudhania kwamba mwiba wa samaki unayokula unaweza kubadilisha maisha yako ikiwa utakusakama kooni. Katika taarifa ifuatayo ya maisha peupe tunaangazia kisa cha ina hii kilichompata mwanamke mmoja ambaye alipoteza sauti yake lakini baadaye ikarejea tena. Hatahivyo kisirani kilimfuata tena na kujeruhiwa katika ajali ya barabarani na kuachwa kilema.lakini asema hajafa moyo,mwili hauishi kuumbika,huenda akatembea tena