Hii leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya kusherehekea amani duniani na kaunty ya Nakuru eneo lijulikanalo kama kwa rhonda wenyeji walikuwa na mbinu ya kusherehekea siku hii kwa kuunda kiti maalum chenye rangi za aina yake , kiti hiki kinatarajiwa kuhamishwa hadi Marekani ambapo kitawakilisha Kenya katika harakati za amani katika nchi zenye mizozo na vita