KTN Leo: Kinyang'anyiro

Added on September 21, 2012
Share this video on:
Desemba tarehe nne ndio miungano kamili itakuwa imekamilika, tayari kwa uchaguzi mkuu ujao. Na huku vigogo wa siasa wakipanga na kupangua, mbinu zinazoshika kasi sasa ni zile za tenga utawale. Msimamo huu ulipata utetezi kufuatia mabadiliko katika baraza la mawaziri. Bendera zilizawadiwa wale walioonekana ni waaminifu, lakini wachambuzi wa siasa wanasema kuna kubwa zaidi. Waziri mkuu akionekana amechacha na mkakati wa kulidhibiti eneo la magharibi, na rais kibaki pengine akituma ujumbe ule mradi wake wa chaguo lake bado upo jikoni. Kufaulu kwa mikakati hii
Last Modified: 21 Sep 2012 21:03
RSS Feeds

Programme Schedule: 20-06-2013 12:52 EAT

On Air: Case files

UpNext »»

13:00News Desk
13:30IAAF Athletics
14:00Afri Screen
16:00Mbiu ya KTN
16:10KTN Kids
17:00IZ Vipi Mashariki

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus