KTN Leo: Uzindizi wa barabara mpya Nanyuki

Added on September 21, 2012
Share this video on:
Katika siku za hivi karibuni,mandhari ya barabara zilinyooka bila viraka vya lami imekuwa ya kutizamwa katika pembe nyingi za nchi. Na leo,uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara wa shilingi bilioni nne ulizinduliwa eneo la Nanyuki kaunti ya Laikipia .waziri wa barabara Franklyn Bett alipongeza raia kwa kuhusika kwenye ujenzi wa aina hiyo kwani ni mara ya kwanza kwa wenyeji wa eneo fulani kuhusishwa kwenye ujenzi wa barabara yoyote. Ni mradi ambao umehusisha serikali ya kenya na ile ya ufaransa na tayari kilomita zaidi ya elfu moja zimejengwa chini ya mradi huu awamu ya kwanza. Kaunti sita na maeneo bunge 31 eneo la kati na Rift Valley yatafaidika kutokana na
Last Modified: 21 Sep 2012 20:53
RSS Feeds

Programme Schedule: 24-05-2013 12:25 EAT

On Air: Living with Fran (Sitcom)Tomorrow Today

UpNext »»

12:30Ajabu
13:00News Desk
13:30Football Review
14:00Afri Screen
16:00Mbiu ya KTN
16:10KTN Kids

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus