KTN Leo: Namwamba Metito wateuliwa Mawaziri

Added on September 20, 2012
Share this video on:
Mbunge wa kajiado kusini katoo ole metito ndio sasa waziri mpya wa usalama wa ndani. Katika mabadiliko ya baraza la mawaziri rais mwai kibaki na waziri mkuu raila odinga pia walimteua mbunge wa budalangi ababu namwamba kama waziri mpya wa michezo. Namwamba anachukua mahali pa paul otuoma ambaye amehamishiwa wizara ya serikali za wilaya. Mbunge wa mugirango magharibi john gesami amerejea kama naibu waziri wa matibabu baada ya kuondolewa mashtaka ya ufisadi.
Last Modified: 20 Sep 2012 21:31
RSS Feeds

Programme Schedule: 25-05-2013 23:17 EAT

On Air: NBA Highlights rpt

UpNext »»

23:30Spin circle

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus