Mbunge wa Kisauni Ali Hassan joho ambaye pia anawania kiti cha ugavana mjini Mombasa alifungua rasmi hospitali ya Mlaleo, iliyojengwa kupitia fedha za hazina ya CDF akisema kuwa sisa bora ni zile za maendeleo naye katibu mkuu wa ODM Peter Anyang Nyongo alilazimika kupiga magoti na kuwarai wapiga kura kumchagua diwani wa wadi ya Ikinu kaunti ya Kiambu.