Kutembea vizuri kwa miguu ni jambo la kawaida kwa wengi, lakini kwake Ann Kariuki ni jambo analolikumbukumbuka tu kwani sasa hawezi. Chakula cha mchana ndicho kilikuwa chanzo cha mkasa huu, mfupa wa samaki uliomsakama kooni na ulioyabadilisha maisha yake.