KTN Leo: MWAKWERE AOMBA MSAMAHA

Added on September 15, 2012
Share this video on:
Waziri wa mazingira Chirau Ali Mwakwere anayekabiliwa na kesi ya uchochezi, leo amejirudi na kuomba msamaha. Akionekana kukiri matamshi hayo ya uchochezi, mwakwere aliomba msamaha wake mbele ya wanaharakati wa shirika la muhuri, ambalo ndilo lililowasilisha malalamishi mbele ya tume ya utangamano ncic. Mwenyekiti anayeondoka wa NCIC mzalendo kibunjia alikataa kuzungumzia ombi hili la msamaha la mwakwere akisema muda wake wa kuhudumu ulimalizika jana. Mbunge huyo wa matuga anakabiliwa na kesi mahakamani, na akipatikana na hatia huenda akapoteza bendera yake ya mazingira
Last Modified: 15 Sep 2012 21:20
RSS Feeds

Programme Schedule: 24-05-2013 22:39 EAT

On Air: World Strongest man

UpNext »»

23:15Spin circle

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus