KTN Leo: LALAMA ZA WALALAHAI

Added on September 15, 2012
Share this video on:
Unaposikia kuhusu mahali pa kuishi panapoitwa Karen hisia za maskani ya wakwasi na basi maskan ya starehe ndizo zinazokujia akilini. Lakini msemo kwamba hata matajiri hulia waweza kuwa wa kweli katika mazingira haya. Unapoingia katika mtaa wa Karen Brooks, harufu mbaya ndiyo inayokulaki, bwawa moja la maji taka ambalo halihudumiwi ipasuavyo. Je, ni nani wa kulaumiwa kufuatia bwawa hili ambalo limewakosesha wengi raha kwa muda mrefu?
Last Modified: 15 Sep 2012 21:16
RSS Feeds

Programme Schedule: 22-05-2013 03:01 EAT

On Air: CNN

UpNext »»

06:00Sunrise Live
09:00Mid Morning Lifestyle
10:00El Clon rpt
11:00Tujuane
12:00DW shift
12:30Perspective rpt

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus