Features: Kinyanganyiro: Mzizi wa siasa nchini

Added on August 31, 2012
Share this video on:
Chimbuko la asili ya jamii humu nchini, huchangia pakubwa katika miegemeo ya kisiasa na vile vile namna jamii zinavyopiga kura humu nchini. Wasomi wa kihistoria wanasema usishangae kuwaona wabantu wakihangaishwa na kuwa na kigogo mmoja, kwani asili yao si watu mbali hujitokeza kuwa wababe wa jamii hizo. Ukiziangalia jamii za maeneo ya ziwa au mito , ama zile za wafugaji hufuata nyayo za kigogo mmoja, bila tatizo. Wachambuzi wa kisiasa lakini wanakosoa mtazamo huu, wakishikilia kuna vivutio vingine ambavyo huwa ndio muamuzi wa namna maeneo mbali mbali hujigamba kisiasa. Mzizi wa siasa za humu nchini ndio makala ya leo ya kingang’anyiro
Last Modified: 31 Aug 2012 22:44
RSS Feeds

Programme Schedule: 20-06-2013 15:13 EAT

On Air: Afri Screen

UpNext »»

16:00Mbiu ya KTN
16:10KTN Kids
17:00IZ Vipi Mashariki
18:00Prem
18:30KTN Leo
19:30Business Focus

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus